تیتر سه زیرسرویس
-
Kwa nini Imam Mahdi (a.t.f.) anaitwa “Shariki al-Qur’an” (Mshirika wa Qur’ani)?
Hawza/ Maana ya kina ya neno “Sharik al-Qur’an” (mshirika wa Qur’ani) inaashiria uhusiano wa kudumu kati ya Imam Mahdi (aj) na Qur’ani Tukufu katika kuendeleza uongofu, kuifufua dini, na kulinda…
-
Mafunzo Katika Sahifat Sajjadiya:
Daima ujihesabu kuwa ni mwenye kukosea
Hawza/ Kuyakuza matendo yako mema na kudharau dhambi au makosa yako, kunaweza kuwa kizuizi kikubwa katika njia ya uchamungu wa kweli. Ndiyo maana mafundisho ya Maimamu watoharifu (as) katika…
-
afunzo katika Nahjulbalagha:
MKwa nini tamaa humfanya mwanadamu awe duni?
Hawzah/ Neno “tamaa” linamaanisha kutaka zaidi ya haki yako na kujaribu kupata neema za maisha kupitia mikono ya wengine. Ni dhahiri kuwa mtu mwenye tamaa hulazimika kujishusha, kuomba kwa kila…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti Kuhusiana na Mahdawiyya (53)
Mahdawiyya katika Qur’ani (Sehemu ya Mwisho)
Hawza/ Aya za Qur’ani wakati mwengine huwa na maana nyingi: moja ni ya dhahiri na ya wazi kwa watu wote, na nyingine ni ya ndani (maana ya batini), ambayo hakuna anayejua isipokuwa Mtume (saww),…
-
Mafunzo Katika Qur'ani:
Njia ya Kukutana na Mtukufu Imam Mahdi (a.s)
Hawza/ Mwenyezi Mungu Mtukufu katika Hadithi ya Mi’raj anatufahamisha kipimo na kigezo ambacho kushikamana nacho kunaweza kuyaangazia macho yetu kuudiriki uzuri wa nuru ya Mtukufu Imam Mahdi…
-
Mafunzo Katika Sahifat Sajjadiyah:
Ni Vipi Tutafahamu Kwamba Mungu Peke Anatosha
Hawza/ Wakati miangaiko ya kidunia inapomtoa mwanadamu katika njia ya uja na utumishi wa Mwenyezi Mungu, Imam Sajjad (a.s) anatupa ufunguo wa dhahabu wa ukombozi: kuomba kutoshelezwa na Mwenyezi…
-
Mafunzo katika Nahjul Balagha:
Fadhila Saba za kunyamaza
Hawza News/ Imam Ṣādiq (a.s.) katika riwaya yenye maana pana, ameeleza kuwa kukaa kimya si tu njia ya watafiti, bali ni chanzo cha kupata radhi za Mwenyezi Mungu na kinga dhidi ya makosa.
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti Kuhusiana na Mahdawiya (52)
Mahdawiyya katika Qur’ani (Sehemu ya Nne)
Hawza/ Mwenyezi Mungu amewaahidi waumini na watu wema ahadi ya utawala juu ya ardhi, utukufu wa dini ya haki, na usalama kamili. Hata hivyo, miongoni mwa wafasiri kuna mjadala kuhusiana na kuwa;…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyyah (51)
Mahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Tatu)
Hawzah/ Baadhi ya aya katika Qur’ani Tukufu zinahusiana na ushindi wa wenyekudhoofishwa dhidi ya wenye nguvu, na zinabainisha kwamba hatimaye dunia itakuwa ya wale wanaostahiki — yaani wacha…
-
Mafunzo Katika Qur'an:
Kwa nini uaminifu ni muhimu zaidi kuliko swala ndefu?
Hawza/ “Msitazame mtu kwa urefu wa swala zake, bali tazameni uaminifu wake.” Kauli hii ya Imam Sadiq (as) inaonesha kwamba uaminifu ndicho kipimo cha msingi cha kumtambua mtu.
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti kusuhisana na Mahdawiyyah (50)
Mahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Pili)
Hawzah/ “Kudhoofishwa” pekee si sababu ya ushindi dhidi ya maadui na utawala juu ya ardhi; bali kuwepo kwa imani na kujipatia sifa za ustahiki pia ni jambo la lazima. Wenye kunyongeshwa ulimwenguni…
-
Mafunzo katika Nahjul Balagha:
Usijiuze kwa Chochote Kilicho Chini ya Pepo
Hawzah/ Ikiwa mtu atatambua thamani na hadhi ya juu ya utu wake, kamwe – na kwa hali yoyote ile – hatakubali kudhalilika wala kuwa mtumwa wa yeyote asiyekuwa Mungu.
-
Kuielekea Jamii ya Bora: Tafiti za Mahdawiyyah (49)
Mahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Kwanza)
Hawza/ Qur’ani Tukufu imezungumzia kwa ujumla juu ya kudhihiri na kisimami cha Hujjat Imam Mahdi (aj), na imeonesha bishara ya kuundwa serikali yenye uadilifu kimataifa na ushindi kwa watu wema.…
-
Ayatullahul-‘Uzma Jawadi Amuli: Jamii inaongozwa na maadili, si kwa elimu pekee
Hawza/ Mtume Mtukufu (saww) pamoja na kuwa na elimu pana, alisifiwa kwa sababu ya maadili yake adhim; kwani jamii inaongozwa na maadili, si kwa elimu pekee. Watu waliongozwa na mwenendo wa Mtume,…
-
Mafunzo katika Qur'ani:
Kwa nini tunapaswa kumkimbilia Mwenyezi Mungu? / Qur’ani inajibu Swali la Aflaton
Hawza/ Aflaton, anaufananisha ulimwengu na upinde wa mshale, ambapo Mungu ndiye mpiga mshale na binadamu ndiye shabaha. Lakini tofauti na uwindaji mwingine wote, njia pekee ya kuokoka katika…
-
Mafunzo katika Sahiifat Sajjaadiya:
Dua inayowakaribisha vijana na barobaro kwenye kumuabudu Mwenyezi Mungu
Hawza / Mwanadamu katika maisha yake anakabiliana na njia na chaguo mbalimbali, lakini swali muhimu ni hili: ni ipi kati ya hizo inayoweza kumsaidia zaidi na vizuri zaidi katika njia ya uja na…
-
Kama Kumfahamu Mwenyezi Mungu ni Asili (Fitrah), Kwa Nini Wapo Wanaomkataa?
Hawza/ Mwanadamu kukengeuka kutoka katika fitrah (asili safi ya maumbile) hutokea kwa sababu mbalimbali ambazo humzuia kujua ukweli na kumtambua Mwenyezi Mungu.
-
Kwa nini Majina ya Manabii Yametajwa katika Qur’ani Tukufu, lakini Majina ya Maimamu Hayakutajwa?
Hawza/ Moja ya maswali ya kimsingi katika tafsiri na elimu ya Qur’ani ni kuhusu sababu ya kutajwa majina ya baadhi ya manabii ndani ya Qur’ani Tukufu, ilhali majina ya Maimamu Maasumīn (as) hayajatajw…
-
Mafunzo katika Nahjul Balagha:
Kwa nini tunapaswa kukumbuka Mauti?
Hawza / Wakati dunia ikionekana kuwa duni na isiyo na thamani kwa mtazamo wa mwanadamu, macho yake hugeuka kuielekea Akhera, na huenda hapo ndipo mwanzo wa utumwa kwa Mwenyezi Mungu unaanzia.
-
Mafunzo katika Sahifat Sajjadia:
Kwa nini nia ni muhimu zaidi kuliko amali?
Hawza/ Ikiwa unataka kujua kwa nini nia safi ndiyo rasilimali kubwa ya mwanadamu katika Siku ya Kiyama, basi soma riwaya ya kusisimua kutoka kwa Imam Sajjad (a.s.).